Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu akiwasili Usharika wa Korogwe kwenye Ibada ya KUINGIZWA KAZINI MKUU WA JIMBO LA TAMBARARE Mch Frank Richard Mntangi leo tarehe 06/06/2021.

Jengo la Kanisa la Usharika wa Korogwe ; mahali ilipo ofisi ya Mkuu wa Jimbo  la Tambarare