Uongozi wa Shule ya Seminari ndogo ya Bangala iliyopo Halmashauri ya Bumbuli Vuga inawatangazia nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo  2022 kwa vijana waliomaliza darasa la saba mwaka huu 2021, mtihani wa kujiunga utafanyika tarehe 11/09/2021 na tarehe 25/09/2021. fomu za kujiunga zinapatikana katika vituo vifuatavyo.

Shuleni Bangala,Tumaini Bookshoop(Lushoto),Korogwe , Muheza, Handeni, Makorora, Kana.Pia tuna nafasi chache za wanaopenda kuhamia katika shule yetu kwa kidato cha tatu.