Print

Uongozi wa Chuo cha Kolowa Technical Training Institute (KOTETI) kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga, kinacho milikiwa na KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki na  chenye Usajili wa NACTE kwa No. KOTETI/HAS/249 unatangaza nafasi ya masomo kwa muhula mpya wa SEPTEMBER-2022/2023 kwa kozi ya PHARMACY.

  DIPLOMA IN PHARMACEUTICAL SCIENCES – Miaka 3

Sifa za kujiunga na Chuo mhitimu awe na ufaulu wa  alama D nne (4). Mbili lazima ziwe za  masoma ya Biology na Chemistry na masomo mengine yeyote mawili (isipokuwa masomo ya dini) Ada yetu ni 1,987,000= na inalipwa kwa awamu nne.Hosteli na huduma za chakula zinapatikana kwa gharama nafuu kabisa. Fanya maombi kupitia njia ya mtandao (ONLINE APPLICATION) kwenye tovuti ya chuo www.koteti.ac.tz  au kupitia mfumo   wa NACTE Central Admission System kwa kubonyeza link hii hapa chini

https://tvetims.nacte.go.tz/

Muombaji ili kujiunga na Chuo hichi anapaswa kuchagua chuo cha Kolowa Technical Training Institute (KOTETI)kwa usajili wa njia ya mtandao . Kwa maelezo Zaidi na maelekezo fika moja kwa moja kwenye ofisi za chuo zilizopo Magamba Lushoto Tanga Tanzania katika majengo ya kilichokuwa Chuo Kikuu cha SEKOMU

“WE CARE WE SHARE WE SERVE!”

. KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA 0712 811 420 AU BaruaPepe     This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 

Hits: 6809