Uongozi wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki unakupongeza Baba Askofu Mch. Jackson Amala Mushendwa kwa kuwekwa wakfu na kuingizwa kazini kuiongoza KKKT-Dayosisi ya Magharibi.