MATUKIO KATIKA PICHA: Ibada ya uwekwaji wa Jiwe la Msingi la Kanisa katika Jimbo la Pwani,Usharika Mteule wa Ng’ambo ya Mto Pangani-Sange iliyoongozwa na Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu leo tarehe 17/11/2022.

Pamoja na uwekwaji wa jiwe la Msingi pia wameingizwa kazini Wazee wa Kanisa na viongozi wa kamati mbalimbali.

Usharika huu Mteule unajumla ya mitaa 13 ambayo ni Sakura, Mwera, Stahabu, Mrogoro, Mikinguni, Mseko, Putini, Mafisi, Mkwajuni, Sange, Mkaramo, Mbulizaga, pamoja na Betheli.