Print

Uongozi wa Taasisi ya Kolowa Technical Training Institute (KOTETI) iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto-Tanga, yenye usajili namba KOTETI/HAS/249 unapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa muhula mpya 2023/2024 kwa kozi ya famasia yaani Diploma in Pharmaceutical science kwa miaka mitatu (3).

 SIFA ZA KUJIUNGA. muombaji awe na kiwango cha alama kuanzia  "D" nne (4) na kuendelea katika masomo ya Chemistry na Biology na masomo mengine yoyote mawili isipokuwa ya dini. Ada ni shilingi 1,400,000/= na italipwa kwa awamu. Hosteli nzuri na huduma ya chakula vinapatikana kwa bei nafuu kabisa. Ili kupata fomu za kujiunga ingia kwenye tovuti ya chuo www.koteti.ac.tz au tembelea ofisi za chuo kwa maelezo Zaidi au tuma barua pepe kwa This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. au piga simu namba

 0712 811 420 au 0747 067 565 au 0784 370 200

Wote mnakaribishwa

 

 

Hits: 3813