KATIKA PICHA. Ibada ya Uzinduzi wa Jimbo jipya la Diaspora Uingereza litakalo simamia, Uingereza, Ulaya na Marekani. Katika Ibada hii iliyofanyika Jumapili ya tarehe 22/09/2024, katika Usharika wa IMANI READING UINGEREZA, Mch.Tumaini Kallaghe, aliingizwa kazini kuliongoza Jimbo hilo.