EVANGELICAL LUTHERAN CHURCH IN TANZANIA

NORTH EASTERN DIOCESE

P.O.BOX 10 (TEL. 027-2660027/FAX 027-2660092) LUSHOTO

 

PROCUREMENT OFFICER (I)

We are seeking for a detail-oriented, thorough, and organized procurement officer to oversee purchases and develop new contracts. In this position, you will play a key role in procuring high-quality and cost-efficient supplies for our organization.

Duties and Responsibilities:

  • Overseeing and supervising employees and all activities of the purchasing department.
  • Preparing plans for the purchase of equipment, services, and supplies.
  • Following and enforcing the company's procurement policies and procedures.
  • Reviewing, comparing, analyzing, and approving products and services to be purchased.
  • Managing inventories and maintaining accurate purchase and pricing records.
  • Maintaining and updating supplier information such as qualifications, delivery times, product ranges, etc.
  • Maintaining good supplier relations and negotiating contracts.
  • Researching and evaluating prospective suppliers.
  • Preparing budgets, cost analyses, and reports.

Qualifications and Requirements:

  • Degree in accounting, business management or procurement and supply.
  • 2+ years of experience as a procurement officer or in a similar position.
  • Proficiency in Microsoft Office and purchasing software.
  • Strong communication and negotiation skills.
  • Good analytical and strategic thinking skills.
  • Supervisory and management experience.
  • Attention to detail.

 Mode of application

Interested candidate should send their applications enclosing photocopies of certificates, curriculum vitae, telephone number and contact addresses of three referees to the address below via This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. to

 GENERAL SECRETARY

ELCT-NED

P.O BOX 10,

LUSHOTO

 The closing date for receiving application is 16/02/2024 at 16.00 hours. 

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, amewataka Wazee wa Kanisa kutambua nafasi na wajibuwao walio  nao katika kulitumikia Kanisa  huku akiwasihi Washarika kutoa ushirikiano kwa wazee hao ikiwa ni pamoja na kuwatia moyo ili waweze kutimiza majukumu na wajibu walioitiwa.

Askofu Dkt. Mbilu ameyasema hayo mara baada ya Ibada ya Jumapili iliyofanyika Kanisa Kuu Lushoto iliyoambatana na tendo la kuwaingiza kazini wazee wa Kanisa wa Usharika wa Kanisa  Kuu Lushoto  wapatao  63 huku akiwakumbusha kuwa wajibu waliopewa niwajibu wa heshima katika kuwaongoza watu wa Mungu.

Kwanyakati tofauti baadhi ya wazee wakanisa waliyoingizwa kazini katika Usharika huo wamesema kuwa wanamshukuru Mungu kwa nafasi na wajibu waliopewa katika Kanisa huku wakiahidi kushirikiana na Washarika katika kuitenda kazi ya Mungu

 Katika hatua nyingine Askofu Dkt. Mbilu ametoa wito kwa Wakristo kutoa ushirikiano na kumuunga mkono Mkuu Mpya wa KKKT aliyeingizwa kazini hivi karibuni ,Baba Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, ili aweze kutimiza  malengo na maono mbalimbali aliyokuwa nayo.

 

 

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa amesema kuwa ushiriki wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ibada Maalumu ya yeye kuingizwa kazini kuipngoza KKKT imeonyesha ni kwa namna gani Serikali yake inavyoshirikiana vizuri  na madhehebu yote ya dini na taasisi zake hapa nchini.

MATUKIO KATIKA PICHA:-Washa ya viongozi wa Makanisa wanachama wa UEM kwa ukanda wa Afrika nzima. Washa hii inayofanyika Katika Ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Protea Jijini Dar es Salaam, mkazo wake nikuona  jinsi ya kuweka mipango thabiti mara baada ya kustaafu kwa watumishi wa Kanisa. Katika semina hiyo  masomo mengi yamefundishwa yakionyesha mifano mbalimbali ya jinsi watumishi wa Kanisa wanavyotunzwa wanapostaafu huko Ulaya (Ujerumani), Asia na Afrika. Pamoja na mambo mbalimbali yaliyo fundishwa na kujadiliwa katika semina hiyo, pia washiriki wamejengewa uwezo na ufahamu wa pamoja kwa kuona ni kwa jinsi gani Makanisa yanaweza kushirikiana kujengeana uwezo mapema wa namna ya kuwatunza Wastaafu.