Print

Habari kwa Ufupi Lushoto, Tanga – Msaidizi wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs), Mch. Frank Richard Mntangi, amewataka wajumbe wa Halmashauri mpya ya Mipango na Fedha ya KKKT-DKMs kuweka mbele maslahi mapana ya Dayosisi katika utekelezaji wa majukumu yao. Amesisitiza kuwa Halmashauri hii ni "moja ya moyo wa maendeleo" ndani ya Dayosisi.

Mch. Mntangi alitoa wito huo leo, Jumamosi, Julai 26, 2025, wakati akifungua Kikao cha Halmashauri hiyo mpya kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo Utondolo, Lushoto. Aliwakumbusha wajumbe kuwa wao ni watumishi wa Kristo na hivyo wanapaswa kuwa waaminifu na weledi katika kutimiza majukumu yao.

Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii

INSTAGRAM - / elctned

FACEBOOK ACCOUNT North Eastern Diocese

FACEBOOK PAGE - ELCT-North Eastern Diocese

YOUTUBE - / KKKT DKMS Online TV

WEBSITE: www.elctned.org

KWA MAONI NA USHAURI:

Simu : +255 743 399 798