
Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph MbiluĀ amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Utawala na usimamizi wa rasilimali watu Wizara ya Mifugo na Uvuvi-Dododoma Dkt. Charles E. Mhina

(Director of Administration and Human Resource, Ministry of Livestock and fisheries).Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe: 01/07/2022 Makao Makuu ya KKKT-DKMs-Lushoto Tanga.

