Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, amepiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kituo cha kupigia kura cha UWALU kilichopo Wilayani Lushoto Mkoani Tanga tarehe 27 Novemba, 2024.