Print

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, akiwa katika mazungumzo na Katibu wa maswala ya kimataifa wa Dayosisi ya Lund- Sweden Bi. Marie Körner, mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Leo tarehe 14 Mei,2022.

 Bi. Marie Körner pamoja na ujumbe alioambatana nao wameitembelea Dayosisi kwa lengo la kuimarisha urafiki kati ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki na Dayosisi ya Lund Sweden. kama alama ya kuimarisha undugu huu jumla ya Sharika kumi na tatu za KKKT-DKMs zimepata  sharika rafiki kutoka Dayosisi ya Lund Sweden kama ifuatavyo.

No

JINA LA USHARIKA

USHARIKA RAFIKI (LUND SWEDEN)

1

Usharika wa Irente 

Höllviken                                        

2

Usharika wa Duga                                              

 Landskrona                                    

3

Usharika wa Pongwe                                        

Trelleborg                                       

4

Usharika wa Kwabada 

Hässleholm

5

Usharika wa Mtonga

Lunds östra                                             

6

Usharika wa Kireti 

Örkelljunga

7

Usharika wa Ubiri 

Dalby                                                

8

Usharika wa Handeni 

Kyrkhult                                         

9

Usharika wa Bumbuli      

Kågeröd-Röstånga                       

10

Usharika wa Mkata    

Eslöv                                                 

11

Usharika wa Amboni          

Malmö parish                                 

12

Vuga Bible School            

Jämshögs folkhögskola        

13

 Usharika wa Kange            

Malmö parish