Print
Leo tarehe 04/06/2025 Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, ametembelea Kituo cha Irente Children’s Home kwa lengo la kukagua zoezi la ukaratabati wa Miundombinu ya bweni la wanafunzi wanaosoma kozi ya Elimu ya Awali na Malezi Bora katika kituo hicho kinacho milikiwa na KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki.
Awali Baba Askofu alikagua ujenzi wa Bweni katika Shule ya Rainbow. Bweni hili linajengwa kwa ushirikiano na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).
Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii
INSTAGRAM - / elctned
FACEBOOK ACCOUNT North Eastern Diocese
FACEBOOK PAGE - ELCT-North Eastern Diocese
YOUTUBE - / KKKT DKMS Online TV
WEBSITE: www.elctned.org
KWA MAONI NA USHAURI:
Simu : +255 743 399 798