Mkuu wa Shule ya Sekondari Lwandai anawatangazia ndugu wazazi na wahitimu wa kidato cha Nne mwaka 2020 kwamba nafasi za kujiunga na kidato cha tano bado zipo japo kwa uchache sana.

 Sifa za mwombaji kwa kidato cha sita.

  1. Awe na ufaulu wa kuanzia alama ya C na kupanda juu katika masomo matatu.
  2. Asiwe na alama ya "F" katika tahasusi(combination) anayotarajia kuisoma.
  3. Na iwapo muombaji hana sifa ya 2. Kama ilivyotajwa hapo juu basi atasajiliwa kama private candidate ila ataishi shule na kufundishwa kama wanafunzi wengine wanaofanya kama watahiniwa wa shule.

Wahi sasa nafasi ni chache na fomu ya kujiunga utatumiwa popote Tanzania au pakua form yetu  kupitia tovuti hii.

Hivyo kwa yeyote anayehitaji fomu ya kujiunga awasiliane na uongozi   kwa namba zifuatazo:

0785 444438 mkuu wa shule.

0769 149 028- Taaluma

0786 066 702- Taaluma.