HABARI PICHA: Picha za matukio mbalimbali ya uzinduzi wa Ushirika wa Wanafunzi wa Kikristo wa Vyuo vikuu na vya kati (USCF) uliofanyika leo tarehe 14/05/2023 katika ukumbi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Tanga.Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu ambaye pia ni Katibu wa CCT Mkoa wa Tanga alimumuingiza kazini Mch. Rogers Chamani wa Kanisa Anglican kuwa Mratibu wa USCF Mkoa wa Tanga.

Steven  Elias Mwakisambwe -Rais - CCT USCF TAIFA (Kushoto) pamoja na Kaimu, Mkuu wa Jimbo la Pwani Mch. Emmanuel Mtoi.

 Mratibu wa USCF Mkoa wa Tanga-Mch. Rogers Chamani.

Mchungaji Mlzezi wa USCF tawi la Tanga COHAS na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga - BOMBO ,Mch. Warehema Chamshama

Mratibu Msaidizi  Vijana CCT- David Anderson  Madimilo.