ELCT North Eastern Diocese
Msaidizi wa Askofu KKKT- Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch.Michael Mlondakweli Kanju afungua mkutano Mkuu wa umoja wa Wanawake wachungaji.
- Details
Msaidizi wa Askofu Mteule wa KKKT- Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch.Michael Mlondakweli Kanju amewapongeza Wachungaji wanawake wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki kwa umoja wao katika kusaidiana,Kuhamasishana, kutembeleana katika maeneo yao ya kazi pamoja na kuombeana, kwa kuwa ni wito walioitiwa.
- Hits: 1238
Askofu Mteule wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (DKMs), kutembelea Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) tarehe 28/03/2021
- Details
Askofu Mteule wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch. Dkt. Msafiri Joseph Mbilu pamoja na viongozi wengine wa Dayosisi watatembelea Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) tarehe 28/03/2021 ambapo watashiriki na kuongoza Ibada katika baadhi ya sharika za DMP.
- Hits: 7929
Askofu Mteule wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki asaini kitabu cha maombolezo.
- Details
Askofu Mteule wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga leo tarehe 22 Machi 2021.
- Hits: 7079
Page 72 of 91