ELCT North Eastern Diocese
Familia ya marehemu Mzee Saguti wakabidhi nyumba kwa KKKT-DKMs
- Details

Msaidizi wa Askofu KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mchungaji Michael Mlondakweli Kanju, amewataka Wakristo kujenga moyo wa kujitoa kwa mali,sadaka kwa ajili ya Kristo na Kanisa lake, kwani ipo siri kubwa ya kufanikiwa kwa kujitoa katika kumtumikia Mungu.
- Hits: 3287
Milioni 122 zapatikana Ujenzi wa Kanisa Usharika wa Pongwe Mtaa wa Diary
- Details
HABARI KWA UFUPI TANGA
HABARI KWA UFUPI
Ibada ya Jumapili siku ya Bwana ya 9 baada ya utatu aliyofanyika KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Jimbo la Pwani Usharika wa Pongwe Mtaa wa Diary tarehe 28/07/2024. Ibada ilikuwa na matendo makuu mbalimbali ikiwemo uwekwaji wa Jiwe la Msingi la Kanisa Pamoja na Harambee ya Ujenzi wa Kanisa la Mtaa huo.
- Hits: 3157
Pumzika kwa amani Mzee Dastan Mazimu
- Details
HABARI KWA UFUPI:

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amewakumbusha Wakristo kuishi maisha ya kumpendeza Mungu ili wawe na mwisho mwema. Askofu Dkt.Mbilu ametoa wito huo katika Ibada ya Mazishi ya Marehemu Mzee Dastan Mazimu yaliyofanyika katika Usharika wa Bumbuli tarehe 27/07/2024.
- Hits: 3128
Mkesha wa Maombi kuiombea KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki
- Details
MATUKIO KATIKA PICHA. Mkesha wa Maombi kuiombea KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, kutoka Jimbo la Tambarare Usharika wa Muheza Tarehe. 26/07/2024
- Hits: 2868
Page 10 of 124