
Leo tarehe 23/05/2022 ni mwaka mmoja kamili tangu Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu alipomuingiza kazini Mkuu wa Jimbo la Kaskazini Mch. Anderson Kipande kuliongoza Jimbo hilo.

MCH. ANDERSON KIPANDE
Uongozi wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki unakutakia baraka tele katika wajibu na utumishi ulioitiwa.


