Mnamo tarehe 13/09/2020 imekuwa siku ya baraka kwa washarika wa Malibwi Dinari ya Kaskazini.Ambapo ilifanyika ibada iliyokuwa na matukio mbalimbali vijana wapatao 135 walipata kipaimara  8 kati yao walibatizwa na ndoa moja ilibarikiwa.Liturgia katika ibada hiyo iliongozwa na Mch Benjamin Chambo mchungaji wa usharika na mzaidizi wa mkuu wa Dinari ya Kaskazini, na Mch Paulo Diu Mratibu wa Missioni na Uinjilisti alihubiri neno la Mungu.

 

IBADA YA KIPAIMARA USHARIKA WA MLALO

Leo imekuwa siku ya baraka kwa washarika wa Mlalo Dinari ya Kaskazini.Ambapo imefanyika ibada iliyokuwa na matukio mbalimbali vijana wapatao 118 wamepata kipaimara  8 kati yao walibatizwa na ndoa moja ilibarikiwa.Liturgia katika ibada hiyo iliongozwa na Mkuu wa Dinari ya Kaskazini Mch Peter Bendera, na msaidizi wa Baba Askofu Mch Dkt Eberhardt Ngugi alihubiri neno la Mungu. Awali ibada ilitanguliwa na uwekwaji wa jiwe la msingi katika nyumba ya mtumishi.

 

Msaidizi wa  Askofu Mch Dr. Eberhardt Ngugi akimbatiza mmoja wa vijana waliopata kipaimara

Assistant to the Bishop Rev. Dr. Eberhardt Ngugi baptizing one of the Confirmands

Leo tarehe 23/08/2020 imekuwa siku ya baraka kwa  washarika wa Shume Dinari ya Kaskazini, ambapo  vijana wapatao 212 walibarikiwa.Liturgia katika ibada hiyo iliongozwa na Mkuu wa Dinari ya Kaskazini Mch Peter Bendera,  na msaidizi wa Baba Askofu Mch Dkt Eberhardt Ngugi alihubiri neno la Mungu.

 

There are 11 parishes in the district as follows:

Mlalo Lutheran Parish
Pastor: Anderson M. Kipande
Postal Address: P.O.BOX 05 Mlalo, Tanzania
Telephone: