Uncategorised
- Details

Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu akiwasili Usharika wa Soni kwenye Ibada ya KUINGIZWA KAZINI MKUU WA JIMBO LA KUSINI Mch. Issai Amasia Mweta.


UPDATE.....Matukio katika PICHA, Ibada ya kuingizwa kazini Mch Issai Amasia Mweta, Baba Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu ndiye atakaye muingiza kazini.


- Details

Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amewatahadharisha na kuwaonya watu wanao vamia maeneo mbalimbali ya Kanisa kuacha uchokozi mara moja na wasidhani kuwa yeye ni mpole au mnyonge kwani hatasita kufuatilia haki ya maeneo hayo ambayo yanalipiwa kodi na kumilikiwa kisheria na Dayosisi hiyo.
- Details
Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu, leo tarehe 23/05/2021 ametembelea na kuonana na wanafunzi,walimu pamoja na wafanyakazi wa Shule ya Sekondari Lwandai inayo milikiwa na KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki kwa lengo la kuwasalimu.

Page 112 of 124


