MATUKIO KATIKA PICHA. Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu akiwa katika Ibada ya kuwabariki Vijana wa Kipaimara katika Jimbo la Kusini, Usharika wa Bungu,Ibada hii ilitanguliwa na ufunguzi wa Makanisa katika Mtaa wa Kwakibomi pamoja na Mtaa wa Msasa huku Jumla ya Vijana 127 wakibarikiwa na wawili kati yao kubatizwa.

KANISA LA MTAA WA KWAKIBOMI

KANISA LA MTAA WA MSASA