
Juni 17, 2025 Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, ameendelea na ziara yake nchini Ujerumani na amekuwa na Kikao na Mkuu wa Jimbo la Vlotho Mch. Dorothea Goudefroy katika Ofisi ya Jimbo la Vlotho unaitwa Tambarare. Siyo jambo jepesi kupata jina la Mtaa kwenye nchi ya Ujerumani kwani ni lazima vikao vingi vifanyike na mapendekezo yakapitishwe na Wizara inayohusika kwa ngazi zao. Mtaa huu ulizinduliwa Mwaka 2011. Askofu Dkt. Mbilu alishiriki kwenye siku ya Uzinduzi wa Mtaa huu wakati akiwa Mwanafunzi wa PhD nchini Ujerumani.Wakati huo alialikwa kama mwana DKMs kuwa mmoja wa wanaoshirikiana na Meya wa Vlotho pamoja na Mkuu wa Jimbo la Vlotho wa wakati huo Andreas Hunnecke kuzindua Mtaa huu.

Picha ya pamoja kati ya Baba Askofu Dkt. Msafiri Mbilu na Mkuu wa Jimbo la Minden Mch. Michael Mertins mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika katika Jimbo la Minden.

