
Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, akiwa katika mazungumzo na Katibu wa maswala ya kimataifa wa Dayosisi ya Lund- Sweden Bi. Marie Körner, mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Leo tarehe 14 Mei,2022.

Bi. Marie Körner pamoja na ujumbe alioambatana nao wameitembelea Dayosisi kwa lengo la kuimarisha urafiki kati ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki na Dayosisi ya Lund Sweden. kama alama ya kuimarisha undugu huu jumla ya Sharika kumi na tatu za KKKT-DKMs zimepata sharika rafiki kutoka Dayosisi ya Lund Sweden kama ifuatavyo.
|
No |
JINA LA USHARIKA |
USHARIKA RAFIKI (LUND SWEDEN) |
|
1 |
Usharika wa Irente |
Höllviken |
|
2 |
Usharika wa Duga |
Landskrona |
|
3 |
Usharika wa Pongwe |
Trelleborg |
|
4 |
Usharika wa Kwabada |
Hässleholm |
|
5 |
Usharika wa Mtonga |
Lunds östra |
|
6 |
Usharika wa Kireti |
Örkelljunga |
|
7 |
Usharika wa Ubiri |
Dalby |
|
8 |
Usharika wa Handeni |
Kyrkhult |
|
9 |
Usharika wa Bumbuli |
Kågeröd-Röstånga |
|
10 |
Usharika wa Mkata |
Eslöv |
|
11 |
Usharika wa Amboni |
Malmö parish |
|
12 |
Vuga Bible School |
Jämshögs folkhögskola |
|
13 |
Usharika wa Kange |
Malmö parish |

