Katibu Mtendaji Fedha na Utawala wa UEM ndugu Timo Pauler amekutana na kufanya mazungumzo na  uongozi wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki.Ambapo pia alipata nafasi ya kutembelea baadhi ya Sharika na Vituo ndani ya Jimbo la Pwani.

 Katibu Mtendaji Fedha na Utawala wa UEM Ndugu Timo Pauler, akisaini kitabu cha wageni katika Usharika wa Mikanjuni Jimbo la Pwani.

 AKIWA KATIKA USHARIKA WA MIKANJUNI.

AKIWA KATIKA USHARIKA WA MAKORORA.