Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu akiwasili Usharika  wa Soni kwenye Ibada ya KUINGIZWA KAZINI MKUU WA JIMBO LA KUSINI  Mch. Issai Amasia Mweta.

UPDATE.....Matukio katika PICHA, Ibada ya kuingizwa kazini Mch Issai Amasia Mweta, Baba Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu ndiye atakaye muingiza kazini.

 

Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amewatahadharisha na kuwaonya watu wanao vamia maeneo mbalimbali ya Kanisa kuacha uchokozi mara moja na wasidhani kuwa yeye ni mpole au mnyonge kwani hatasita kufuatilia haki ya maeneo hayo ambayo yanalipiwa kodi na kumilikiwa kisheria na Dayosisi hiyo.

 Askofu Dkt Msafiri Joseph Mbilu, leo tarehe 23/05/2021 ametembelea na kuonana na wanafunzi,walimu pamoja na wafanyakazi wa Shule ya Sekondari  Lwandai inayo milikiwa na KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki kwa lengo la kuwasalimu.