Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu,akisalimiana na  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe.mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Mkao Makuu ya KKKT-DKMs Lushoto Tanga.