Walioketi ni Katibu Mkuu wa KKKT, Bw. Rogathe Mollel, Askofu wa KKKT-DKMS ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa Halmashauri hii ya Utumishi ya KKKT Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, pamoja Katibu Mkuu Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria, Shinyanga Bi. Happiness Geffi ambaye ndiye Katibu Mwandishi wa Halmashauri ya Utumishi KKKT. Mkutano huu umefanyika tarehe 16/01/2025 katika Ukumbi wa New Safari Hotel Arusha.