Matukio katika picha ni Ibada ya Jumapili siku ya Bwana ya 2 Kabla ya Majilio iliyofanyika KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Usharika wa Kanisa Kuu Lushoto.tarehe 16/11/2025.

Ibada hii iliongozwa na Baba Askofu Dkt. Msafiri Mbilu akishirikiana na watumishi wengine na iliambatana na tendo la Kubarikiwa watheologia 14 kuwa Wachungaji ambao ni.
1. RAPHAEL VULI
2. ABIDON LUPATU MTOI
3. AMINIEL ENOCK KANIKI
4. ELIAS ALOYCE MADEGHE
5. EMMANUEL PAULO MAVOA
6. GODFREY ALEN SHEMAGONGA
7. LEONARD ABRAHAM HEMBA
8. MARY LEONARD TEWELE
9. MWALILEY TAMILWAI MWAMBASHI
10. REHEMA SOLOMON BARAZA
11. STEPHANO ELIA MWANYEMI
12. SYLVESTER NAEMAN SHEMPUNA
13. YOSE ISACK MSABAHA











Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii
INSTAGRAM - / elctned
FACEBOOK ACCOUNT North Eastern Diocese
FACEBOOK PAGE - ELCT-North Eastern Diocese
YOUTUBE - / KKKT DKMS Online TV
WEBSITE: www.elctned.org
KWA MAONI NA USHAURI:
Simu : +255 743 399 798.

