Uncategorised
- Details

Naye atafuta kila chozi katika macho yao,wala mauti haitakuwepo tena,wala kilio,wala maumivu hayatakuwepo tena, kwa kuwa mambo ya kwanza , yamekwisha kupita UFUNUO 21:4.
- Details

Msaidizi wa Askofu KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch. Michael Mlondakweli Kanju, amewapongeza na kuwashukuru wachungaji na mashemasi wanawake wa KKKT-Dayosisi ya kaskazini mashariki kwa huduma nzuri wanayofanya ndani ya Dayosisi,sharika na vituo mbalimbali walivyopangiwa.
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, ameipongeza Idara ya Wanawake na Watoto kwa mipango mizuri iliyojiwekea katika mwaka wa wanawake 2022 ambapo amesema kuwa endapo itasimamiwa kwa umakini italeta tija kwenye Idara hiyo na Dayosisi kwa Ujumla.
- Details

Zoezi la kuchangia damu lililo andaliwa na kituo cha redio Utume Fm kinachomilikiwa na KKKT- Dayosisi ya Kaskazini Mashariki kimefanikiwa kukusanya chupa 25 katika Wilaya ya Lushoto mjini.
Hili linajiri wakati ambapo upungufu unashuhudiwa katika benki ya damu Wilayani Lushoto.
Page 87 of 124

