Uncategorised
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amezindua na kushirikisha Washarika nakala ya taarifa ya ukaguzi wa hesabu za Dayosisi zilizokuwa zikisubiriwa kwa hamu kubwa na Waumini wa KKKT-DKMs.
- Details

Leo tarehe 16 Oktoba 2021 kumefanyika mahafali ya 32 ya kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Lwandai inayomilikiwa na KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ambapo wanafunzi 41 (wavulana 23 na wasichana 18 ) wamehitimu. Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa ni Mhasham Askofu, Dkt Msafiri Joseph Mbilu aliyewakilishwa na Msaidizi wa Askofu , Mchungaji Michael Mlondakweli Kanju. Mahafali hayo yalifana sana yakipambwa na vishirikisho mbalimbali toka kwa wahitimu na wanafunzi wengine.

- Details

Kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere, 1922-1999 (Nyerere Day)
- Details

Leo tarehe 10/10/2021 Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Dkt Msafiri Joseph Mbilu ameongoza Ibada ya sikukuu ya mavuno, katika Jimbo la Pwani, Usharika wa Kana.

Page 102 of 125

