Uncategorised
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amekuwa na ziara ya kikazi Nchini Hungary ambapo alihudhuria kikao cha kamati ya Ibada na Muziki ya Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani (LWF).
- Details

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI LWANDAI INAYOMILIKIWA NA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA - DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI. ILIYOPO MLALO - LUSHOTO-TANGA. ANAPENDA KUWATANGAZIA NAFASI ZA KUJIUNGA NA MASOMO YA KIDATO CHA TANO KWA MWAKA WA MAASOMO 2023-2024 KATIKA TAHASUSI ZIFUATAZO.
|
PCB |
PCM |
PGM |
EGM |
CBG |
HKL |
HGL |
HGK |
HGE |
CBA |
SHULE NI YA BWENI (KIDATO CHA I – VI) WAVULANA KWA WASICHANA. SHULE INA MAZINGIRA MAZURI YA KUSOMEA NA KUJIFUNZIA. SIFA ZA MWANAFUNZI: AWE NA ALAMA (CREDIT “C”3) NA KATIKA TAHASUSI ANAYOCHUKUA ANGALAU AWE NA UFAULU WA (C, C, D). MUHULA WA MASOMO UTAANZA TAREHE 03/07/2023. LAKINI PIA TUNAPOKEA MAOMBI YA WANAOTAKA KUHAMIA KIDATO CHA KWANZA(I)NA TATU(III) NA PIA NI KITUO CHA KUFANYIA MITIHANI YA (QT) NA (PC). TAFADHALI WASILIANA NA NAMBA ZA SIMU HAPO JUU KUPATA FOMU ZA KUJIUNGA.
School motto. “Kumcha Bwana ni chanzo cha Maarifa” (Mith: 1:7a)
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch. Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, amewashukuru wana KKKT-DKMs pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo kwa namna wanavyo endelea kuchangia deni la Dayosisi na kusaidia kumaliza Deni la CRDB na kupunguza sehemu ya madeni mengine yanayo ikabili Dayosisi.
- Details

Mahusino mema ni jambo zuri na la kupendaza katika jamii yoyote duniani ikiwemo serikali,taasisi hata kwenye mikusanyiko ya jamii fulani. Haya siyo tu mahusiano ya ndugu bali hata ya watu wanaokuzunguka,na hii inasadifu yanayotokea KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki kwa kutembelewa na kiongozi wa serikali ya Ujerumani na huyu siye mwingine bali ni Naibu Balozi wa Ujerumani hapa nchini Tanzania Dkt Kathrin Steinbrenner ambaye alipokelewa na mwenyeji wake Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu .
Page 58 of 124

