Uncategorised
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amewasihi wanafunzi wanao soma katika Taasisi ya Elimu ya Kolowa Technical Training Institute (KOTETI) kuwa waadilifu katika kazi pindi watakapomaliza mafunzo yao ya ufamasia katika ngazi ya Stashahada na Astashahada, ameyasema hayo leo tarehe 6/2/2023 katika ziara yake ya kikazi katika taasisi hiyo inayomilikiwa na KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki .
- Details




- Details

UTANGULIZI
Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya Kilutheri yaliungana na kuunda Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT). Leo hii KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs) ni miongoni mwa Dayosisi 27 ndani ya KKKT. Dayosisi inaitwa hivyo kwakuwa inapatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania katika Mkoa wa Tanga. Kwahiyo KKKT-DKMs ni taasisi ya kidini iliyosajiliwa tarehe 19 Juni 1963 na Makao yake Makuu yapo Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga. Dhamira ya KKKT-DKMs ni kufundisha na kuhubiri neno la Mungu na kutoa huduma nzuri kiroho, kimwili, kiakili, kiuchumi na kijamii kwa watu. Taasisi hii inatoa tangazo la kazi kwa nafasi ifuatayo
- Afisa Ustawi wa Jamii
- Details
Page 59 of 124

