Askofu  wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch.Dkt.Msafiri Joseph Mbilu leo tarehe 26/07/2021 ameongoza Ibada ya mazishi ya Mama Catherine M. Kanju ambaye ni  Mama mzazi wa Msaidizi wa Askofu KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Michael Mlondakweli Kanju.

Ibada imefanyika katika Usharika wa Lutindi, Mama Catherine M. Kanju aliitwa mbinguni Alhamisi ya tarehe 22/07/2021   akiwa anapatiwa matibabu katika kituo cha afya cha  St Joseph  Kwamndolwa Korogwe.

Kaimu Katibu Mkuu KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch.Godfrey Tahona Walalaze

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Basilla Mwanukuzi

...................