Leo tarehe 02 Septemba,2023, Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu,amemtembelea Dean Mstaafu  wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Amasia Mweta, nyumbani kwake Mpalalu-Bumbuli.