Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, akiongoza Kikao cha Bodi ya Taasisi ya Elimu ya Kolowa Technical Training Institute (KOTETI),kilichofanyika Makao Makuu ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Lushoto Tanga tarehe 17/10/2024 ambacho kilijumuisha wadhamini wa mali za KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki.