
KATIKA PICHA: Ibada illiyokuwa na tendo la kuweka wakfu vifaa vya kiaskofu iliyofanyika KKKT-Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria (Mwanza) Usharika wa Imani Kanisa Kuu. Ibada hii iliongozwa na Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu.


Ibada hii ni maadalizi kuelekea Ibada itakayofanyika Jumapili ya kesho tarehe 19 Januari 2025,itakayokuwa na tendo la kuwekwa wakfu na kuingizwa kazini Askofu Mteule Mch. Oscar Lema na kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mch. Stephen John.

Ibada hii itaongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa na Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa.

Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii
INSTAGRAM - / elctned
FACEBOOK ACCOUNT North Eastern Diocese
FACEBOOK PAGE - ELCT-North Eastern Diocese
YOUTUBE - / KKKT DKMS Online TV
WEBSITE : https://elctned.org/
KWA MAONI NA USHAURI:
Simu : +255 743 399 798