ELCT North Eastern Diocese
Kutoka Usharika wa Mikanjuni Tanga
- Details

Mchungaji Jeremia Mboko wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Jimbo la Pwani Usharika wa Mikanjuni amewashukuru na kuwapongeza waumini wa Usharika huo ambao wanaendelea kujitoa katika kuchangia deni linalo ikabili Dayosisi huku akiwataka washarika wote kuingia kazini kikamilifu katika kuchangia deni hilo.
- Hits: 8651
Mwendelezo wa ziara ya Askofu Dkt. Mbilu kutembelea Jimbo la Pwani na Sharika
- Details

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu ameendelea na ziara yake ya kutembelea Jimbo la Pwani na Sharika zake ambapo tarehe 20/04/2024 ametembelea Usharika Mteule wa Lugongo na kuongoza Ibada ya Shukrani.
- Hits: 9470
Tamati ziara ya Askofu Dkt. Mbilu Jimbo la Pwani
- Details

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch.Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amehitimisha ziara yake ya siku tatu ya kutembelea Jimbo la Pwani na Sharika zake kwa kuongoza Ibada ya Jumapili katika Usharika wa Maramba katika Jimbo la Pwani.
- Hits: 8929
Askofu Henrik Stubkjæ atoa wito kupima Afya mara kwa mara
- Details

Rais wa Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani (LWF) Askofu Henrik Stubkjær ameungana na Watanzania katika kuadhimisha siku ya ugonjwa wa Hemophilia Duniani ambapo jamii imeaswa kupima mara kwa mara ili kuweza kujua hali ya Afya zao na kuchukua hatua mapema.
- Hits: 9170
Page 30 of 137

