ELCT North Eastern Diocese
Askofu wa KKKT aahidi kuendeleza ushirikiano na LWF
- Details

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa ujio wa Rais wa Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani (LWF), nchini Tanzania Askofu Henrik Stubkjær utaendelea kuimarisha uhusiano uliopo na Makanisa ya Kilutheri duniani katika kulitangaza neno la Mungu.
- Hits: 8915
Rais wa Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani awasili Tanzania
- Details

Rais wa Fungamano la Makanisa ya Kilutheri Duniani (Lutheran World Federation “LWF”), Askofu Henrik Stubkjær amewasili nchini Tanzania tayari kuanza ziara yake ya siku 3 ya kuitembelea KKKT,ambapo amepokelewa na na mwenyeji wake Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa .
- Hits: 10116
Pumzika kwa amani Marehemu Mzee Raphael Yohana Shebila
- Details

- Hits: 9100
Mabadiliko na Uteuzi Wakuu wa Majimbo KKKT-DKMs
- Details
Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, kwa niaba ya Halmashauri Kuu ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ametangaza uteuzi na mabadiliko madogo ya Wakuu wa Majimbo.Hii ni mara baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Dayosisi kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano Utondolo Lushoto Tarehe 26-27/03/2024.

- Hits: 10397
Page 31 of 137

