ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Askofu Dkt. Mbilu afungua Kongamano la Maombi Kanda ya Kaskazini

  • Print
Details
Published: 22 March 2024
Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Mch. Dkt Msafiri Joseph Mbilu amefungua Kongamano la Maombi Kanda ya Kaskazini ikijumuisha Mikoa ya Manyara,Arusha Kilimanjaro na Tanga linaloongozwa na Mwl Christopher Mwakasege na kusema kuwa ni baraka kwa Taifa na kanda ya Kaskazini kupata kibali kutoka kwa Mungu kwakuwa sehemu ya kuliombea Kanisa,Taifa pamoja na viongozi wake.
Hits: 10652

Read more ...

Askofu Dkt. Mbilu azindua mwaka wa Wanaumi KKKT-DKMs

  • Print
Details
Published: 17 March 2024

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, (KKKT-DKMs) Mch Dkt. Msafiri Josephu Mbilu, amewataka Wanaume wa KKKT- Dayosisi ya Kasikazini Mashariki kujitoa katika kukamilisha mipango na malengo waliyojiwekea katika mwaka wao huku akiwataka kuwa mstari wa mbele katika kusimamia maadili mema  ikiwa ni pamoja na kukemea ndoa za jinsia moja,  huku akiwataka wanaume wa Dayosisi hiyo kijitoa na  kuhudhuria katika Ibada na kushiriki katika maswala mazima ya uimbaji wa kwaya.

Hits: 10098

Read more ...

Hakuna Mungu wa eneo moja bali Mungu ni wawote Askofu Mbilu.

  • Print
Details
Published: 16 March 2024

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Msafiri Joseph Mbilu, leo tarehe 16/03/2024, ameongoza Ibada ya ufunguzi wa  Usharika  mpya Mteule wa Saunyi uliopo katika Jimbo la Magharibi, Ibada iliyoambatana na tendo la kuwabariki vijana wa Kipaimara 201 pamoja na kufungua  nyumba ya Mtumishi.

Hits: 9706

Read more ...

Ziara ya kikazi ya Baba Askofu Dkt. Mbilu, Usharika wa St. Marien Minden nchini Ujerumani

  • Print
Details
Published: 10 March 2024
KATIKA PICHA: Ibada ya Jumapili ya tarehe 10/03/2024 kutoka Usharika wa St. Marien Minden nchini Ujerumani, ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu nchini humo.
Pamoja na mambo mengine yaliyojadiliwa katika Usharika huo Baba Askofu pamoja na mwenyeji wake wamekamilisha maandalizi ya ziara ya Vijana 11 kutoka katika Dayosisi yetu watakaotembelea nchi ya Ujerumani kuanzia tarehe 14. Aprili hadi tarehe 6. Mei 2024.
Vijana hao11 kutoka KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Usharika wa Mtae watakuwa na Kongamano la maswala ya Maji nchini Ujerumani. Kongamano hili litasimamiwa na Usharika wa St. Marien Minden.
Hits: 9236

Read more ...

  1. Marafiki wa Jimbo la Tambarare Vlotho Ujerumani wakutana na Askofu Dkt.Mbilu.
  2. Mkuu wa Kurugenzi ya Uhusiano wa Kimataifa kutoka Ujerumani  kuitembelea KKKT-DKMs mwezi Julai 2024.
  3. Mwendelezo wa ziara ya Askofu Dkt. Msafiri Mbilu nchini Ujerumani.
  4. Askofu Dkt. Mbilu ziarani nchini Ujerumani

Page 33 of 137

  • 28
  • 29
  • ...
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • ...
  • 36
  • 37

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese