ELCT North Eastern Diocese
Pumzika kwa amani Mchungaji Mstaafu Daniel Magogo
- Details

- Hits: 9855
Askofu Dkt. Mbilu akigawa vyeti kwa washiriki waliokuwa ziarani nchini Ujerumani
- Details

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu akikabidhi vyeti kwa Vijana 11 wa KKKT-Dayosis ya Kaskazini Mashariki waliokuwa ziarani nchini ujerumani ambao pamoja na mambo mengine walifika nchini humo kwa ajili ya mafunzo ya Water project titled water and Sanitation. Askofu Dkt. Mbilu, amegawa vyeti hivyo katika Ibada ya Jumapili ya tarehe 12/05/2024 iliyofanyika katika Jimbo la Tambarare Usharika wa Korogwe.
- Hits: 8728
KATIKA PICHA. Kikao cha kurugenzi ya Mipango Uchumi na Maendeleo KKKT-DKMs
- Details

Kikao hiki kilifanyika kwa dhumuni la kumtambulisha Mkurugenzi wa Uchumi Mipango na Maendeleo Bibi. Pendo Lauwo kwa wakuu wa Idara pamoja na wakuu wa vituo vya uzalishaji. Baada ya utambulisho mkurugenzi alipata muda wa kueleza mikakati yake katika utekelezaji wa shughuli za kituo na wakuu wa Idara na vituo walitoa taarifa zao miezi mitatu. Kikao hiki kilifanyika tarehe 15/06/2023 katika ukumbi wa mikutano Utondolo.
- Hits: 8312
Page 28 of 137


