ELCT North Eastern Diocese
Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Halmashauri Kuu ya KKKT-DKMs watembelea kituo cha Irente Children's Home pamoja na Irente School for the Blind
- Details

Tarehe 28/11/2024 Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Halmashauri Kuu ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki walipata nafasi ya kutembelea kituo cha Malezi bora ya Watoto Irente (Irente Children's Home) pamoja na Shule ya Watoto wasioona (Irente School for the Blind) ambapo walipata nafasi yakuona miradi mbalimbali ya ujenzi ikiwemo ukarabati wa Majengo pamoja na ujenzi wa Green House.
- Hits: 8053
Askofu Dkt. Mbilu apigakura kuchagua viongozi kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa
- Details
Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki,Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, amepiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kituo cha kupigia kura cha UWALU kilichopo Wilayani Lushoto Mkoani Tanga tarehe 27 Novemba, 2024.

- Hits: 8308
Page 15 of 137





