ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Kamati ya amani Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga kuhamasisha jamii kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

  • Print
Details
Published: 15 October 2024
Viongozi wa Dini mbalimbali kupitia kamati ya amani Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga wamekutana leo Octoba 15, 2024 ili kujadili masuala mbalimbali yanayohusu amani katika jamii hususani katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakao fanyika Novemba 27, 2024 na kuhamasisha jamii kushiriki katika Uchaguzi huo.
 
Hits: 8074

Read more ...

Askofu Dkt. Mbilu atoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kujiandikisha

  • Print
Details
Published: 14 October 2024

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dkt Msafiri Joseph Mbilu,amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa mstari wa mbele katika kuwahamasisha Watanzania kuendelea kujitokeza katika zoezi la kujiandikisha katika daftari la wapigakura huku akiwataka  Watanzia wote kutumia  muda uliobaki kuendelea kujitokeza katika Vituo mbalimbali vya kujiandikisha  kwa kuwa ni wajibu kushiriki katika kuchagua viongozi watakaoweza kuwasaidia wananchi.

Askofu Dkt Mbilu ametoa witu huo leo tarehe 14/10/2024 mara baada ya kujiandikisha kwenye daftari la Wapigakura kwaajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kituo cha kujiandikisha cha Uwalu Wilayani Lushoto Mkoani Tanga na kuwasihi Watanzania wote kuendelea kujitokeza kwa wingi katika kujiandikisha ili kutimiza haki yao ya kimsingi ya kikatiba ya yakupiga kura wakati utakapofika.

Hits: 8086

Read more ...

Ibada ya Kipaimara Usharika wa Bumbuli , Youths Confirmation at Bumbuli Lutheran Parish

  • Print
Details
Published: 13 October 2024

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dkt Msafiri Joseph Mbilu, ameongoza Ibada ya kuwabariki Vijana wa Kipaimara,uwekwaji wa jiwe la msingi la nyumba ya mtumishi pamoja na Ubatizo, Ibada iliyofanyika katika Jimbo la Kusini Usharika wa Bumbuli leo tarehe 13/10/2024.

Hits: 8129

Read more ...

Ibada ya Kipaimara Usharika wa Mombo , Youths Confirmation at Mombo Lutheran Parish

  • Print
Details
Published: 12 October 2024

 

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dkt Msafiri Joseph Mbilu, amewapongeza Washarika wa Usharika Mombo kwa namna wanavyoendelea kujitoa katika kumtumikia Mungu katika kuchangia ulipaji wa deni la Dayosisi pamoja na ujenzi wa Kanisa jipya na la kisasa linaloendelea kujengwa katika Usharika huo.

Ameyasema hayo wakati akitoa salamu zake katika Ibada ya Kipaimara iliyofanyika tarehe 12/10/2024 katika Jimbo la Tambarale Usharika wa Mombo na kuongeza kuwa amefarijika kuona Washarika wa Usharika wa Mombo wanavyojitoa katika kuchangia ulipaji wa deni la Dayosisi na anaamini kwa namna ambavyo kila mmoja anajitoa siku moja deni hilo litakwisha huku akiwasihi kila mmoja kuendelee kujitoa kwa moyo.

Hits: 8135

Read more ...

  1. Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu asisitiza watoto kufundishwa kanuni za maishi
  2. Ibada ya Kipaimara Usharika wa Kireti , Youths Confirmation at Kireti Lutheran Parish
  3. IBADA YA KUSTAAFU KWA HESHIMA MCH. EZEKIELI ANDREA MWARABU
  4. Uzinduzi wa Jimbo jipya la Diaspora Uingereza

Page 18 of 137

  • 13
  • 14
  • ...
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • ...
  • 21
  • 22

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese