ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu asisitiza watoto kufundishwa kanuni za maishi

  • Print
Details
Published: 05 October 2024
Askofu wa KKKT- Dayosisi ya Kaskazin Mashariki, Mch. Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amesema watoto wanatakiwa kufundishwa kanuni za maisha ili waweze kujitegemea katika sekta mbalimbali na tena wafundishwe neno la Mungu nakuziishi amri kumi za Mungu.
Hits: 7248

Read more ...

Ibada ya Kipaimara Usharika wa Kireti , Youths Confirmation at Kireti Lutheran Parish

  • Print
Details
Published: 06 October 2024
KATIKA PICHA KUTOKA JIMBO LA KASKAZINI USHARIKA WA KIRETI MTAA WA MPANDA: Ibada ya Jumapili ya leo tarehe 06/10/2024 iliyoambatana na Kubarikiwa kwa Vijana wa Kipaimara 133 na watu wazima 3 kubatizwa iliongozwa na Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu.
Vijana waliobariki katika kuonesha utayari wa kuchangia Deni la Dayosisi walichangia kiasi cha shilingi 665,000 na kuwaomba wazazi na walezi kuwaunga mkono na baada ya kuungwa mkoni kiasi cha Tsh. 2,066,400 kilipatikana.
Katika kuendelea kudumisha urafiki kati ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki na Dayosisi rafiki ya Lund Sweden Usharika wa Kireti wametembelewa na marafiki zao kutoka Usharika wa Örkelljunga Dayosisi ya Lund Sweden na wameshiriki katika Ibada ya Kipaimara iliyofanyika katika Usharika huo wa Kireti Mtaa wa Mpanda.
Hits: 7422

Read more ...

IBADA YA KUSTAAFU KWA HESHIMA MCH. EZEKIELI ANDREA MWARABU

  • Print
Details
Published: 28 September 2024
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs) Dkt. Msafiri Joseph Mbilu ameiomba Serikali kuongeza jitihada katika uchunguzi wanaoufanya ili kuwabaini mapema na kuwachukulia hatua za kisheria wahusika wote wa vitendo vya utekaji na mauwaji ya watu hapa nchini.
Hits: 7478

Read more ...

Uzinduzi wa Jimbo jipya la Diaspora Uingereza

  • Print
Details
Published: 22 September 2024

KATIKA PICHA. Ibada ya Uzinduzi wa Jimbo jipya la Diaspora Uingereza litakalo simamia, Uingereza, Ulaya na Marekani. Katika Ibada hii iliyofanyika Jumapili ya tarehe 22/09/2024, katika Usharika wa IMANI READING UINGEREZA, Mch.Tumaini Kallaghe, aliingizwa kazini kuliongoza Jimbo hilo.

Hits: 7877

Read more ...

  1. Ibada ya Kipaimara Usharika wa Imani , Youths Confirmation at Imani Lutheran Parish
  2. KATIKA PICHA IBADA YA KUWEKWA WAKFU NA KUINGIZWA KAZINI ASKOFU BRYAN PENMAN
  3. Pumzika kwa Amani Baba Askofu Chediel Elinaza Sendoro, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mwanga.
  4. Hongera Mchungaji John Ndimbo kwa kuingizwa kazini kuwa Mkuu wa Jimbo

Page 19 of 137

  • 14
  • ...
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • ...
  • 21
  • 22
  • 23

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese