ELCT North Eastern Diocese
Mkuu wa KKKT awataka Wakurugenzi wa Taasisi za Kanisa kuwa wabunifu katika uendeshaji wa Taasisi hizo
- Details
HABARI KWA UFUPI

Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Malasusa amewataka Wakurugenzi wa Taasisi za Kanisa kuwa wabunifu katika kuendesha Taasisi hizo pamoja na kujifunza kwa wengine ili kuongeza ufanisi na kuweza kufanya vizuri katika kutoa huduma bora kwenye jamii.
- Hits: 7993
MAHUBIRI YA JUMAPILI YA TAREHE 17.11.2024 SIKU YA BWANA YA 2 KABLA YA MAJIRIO
- Details

NENO KUU: JIANDAE KWA HUKUMU YA MWISHO
NENO LA MAHUBIRI: Mathayo 25:14-30
UTANGULIZI
Leo ikiwa ni jumapili ya pili (2) kabla ya kuingia katika kipindi cha MAJIRIO, majira ambayo wakristo wote ulimwenguni wanayaangalia mambo makubwa mawili 1. Kukumbuka ujio wa kwanza wa Bwana Yesu hapa ulimwenguni ambapo miaka zaidi ya 2000 iliyopita alizaliwa na kuleta ukombozi kwa kila mtu aliyemuamini na wanaoendelea kumuamini hata sasa. 2. Jambo la pili ambalo sisi wakristo tunaliangalia katika majira haya ni maandalizi yetu kwa ajili kumpokea Bwana Yesu katika ujio wake wa pili, ambapo analijia kanisa lake katika hukumu ya mwisho.
- Hits: 8451
Ibada ya Kipaimara Usharika wa Muheza , Youths Confirmation at Muheza Lutheran Parish
- Details

- Hits: 8001
Askofu Dkt. Mbilu:- jiungeni na Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS)
- Details

- Hits: 7710
Page 16 of 137

