ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Siku ya Kukumbuka Matengenezo ya Kanisa (Reformation)

  • Print
Details
Published: 27 October 2024

Ikiwa leo tarehe 27/10/2024, katika  Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, ni Siku ya Kukumbuka Matengenezo ya Kanisa (Reformation) Askofu Dkt. Mbilu amesema kuwa Kanisa litaendelea kukemea mafundisho potofu yaliyotanda katika ulimwengu na kuendelea  kusimama katika msingi wa kuihubiri kweli ya Kristo.

Hits: 9029

Read more ...

Wanawake wajengewa uwezo kujikwamua kiuchumi

  • Print
Details
Published: 23 October 2024
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, amewasihi Wanawake kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza katika jamii na Kanisa kwaajili ya kujikwamua kiuchumi ili kuondokana na umasikini pamoja na utegemezi.
Hits: 8227

Read more ...

Askofu Dkt.Mbilu awataka wazazi na walezi kuwapeleka Watoto wao Shule ya Sekondari Lwandai

  • Print
Details
Published: 19 October 2024

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dkt Msafiri Joseph Mbilu, amesema kuwa mwamko wa elimu katika Shule ya Sekondari Lwandai pamoja na Bangala Lutheran Junior Seminary ambazo zote zinamilikiwa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, umeongezeka zaidi ukilinganisha na hali ilivyokuwa hapo awali na kuwaomba wazazi na walezi kupeleka watoto wao katika Shule hiyo.

Hits: 8219

Read more ...

ASKOFU DKT.MBILU AONGOZA KIKAO CHA BODI YA KOTETI NA WADHAMINI

  • Print
Details
Published: 17 October 2024

Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, akiongoza Kikao cha Bodi ya Taasisi ya Elimu ya Kolowa Technical Training Institute (KOTETI),kilichofanyika Makao Makuu ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Lushoto Tanga tarehe 17/10/2024 ambacho kilijumuisha wadhamini wa mali za KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki.

 

Hits: 7964

Read more ...

  1. Kamati ya amani Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga kuhamasisha jamii kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
  2. Askofu Dkt. Mbilu atoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kujiandikisha
  3. Ibada ya Kipaimara Usharika wa Bumbuli , Youths Confirmation at Bumbuli Lutheran Parish
  4. Ibada ya Kipaimara Usharika wa Mombo , Youths Confirmation at Mombo Lutheran Parish

Page 17 of 137

  • 12
  • 13
  • 14
  • ...
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • ...
  • 21

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese