ELCT North Eastern Diocese
Askofu Dkt. Mbilu azindua Usharika wa Bethania uliopo katika Jimbo la Pwani.
- Details
Usharika Mpya wa Bethania ni Usharika uliozaliwa kutoka katika Usharika Mama wa Kange. Usharika huu uliopo katika Jimbo la Pwani unaundwa na Mitaa miwili ambayo ni Mtaa wa SENTA pamoja na Mtaa wa PENUEL. Mtaa wa Senta upo katika maeneo ya Kange kasera karibu na Chuo cha Utumishi wa Umma na Mtaa wa Penuel upo katika maeneo ya Kasera. Mitaa yote hii miwili ilikua chini ya uangalizi wa Usharika mama wa Kange.
- Hits: 2851
Mkuu wa Shirika la Michaeliskloster ziarani KKKT-DKMs
- Details
- Hits: 2729
Wanafunzi wa kozi ya Masters ya Kimataifa ya Usimamizi/Uongozi wa Diakonia ziarani KKKT-DKMs
- Details
- Hits: 2917
Taarifa Ziara ya kikazi ya Baba Askofu Dkt. Mbilu nchini Philippines, kuanzia tarehe 15/5/2024 hadi 05/06/2024
- Details
Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amefanya Ziara ya kikazi nchini Philippines, kuanzia tarehe 15/5/2024 hadi tarehe 05/06/2024, Ziara hii iliyowezeshwa na chama Cha kiinjili Cha kimisioni, United Evangelical Mission (UEM) imekuwa na malengo ya kumuwezesha Baba Askofu kuhudhuria Makongamano mbalimbali ya Kimisioni katika Chuo Kikuu cha Silliman kilichopo katika Jiji la Dumaguete Mkoa wa Negros Oriental.
- Hits: 3286
Page 12 of 122