ELCT North Eastern Diocese
Ibada ya Kipaimara Usharika wa Imani , Youths Confirmation at Imani Lutheran Parish
- Details
Tarehe 21/09/2024 Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, alianza sa ziara yake ya kikazi nchini Uingereza na alipata nafasi ya kuongoza Ibada iliyokuwa na tendo la kuwabariki Vijana wa Kipaimara katika Usharika wa IMANI READING UINGEREZA. Katika Ibada hiyo jumla ya vijana watatu walibarikiwa na mmoja alibatizwa.

- Hits: 7688





