ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Ziara ya kikazi ya Baba Askofu Dkt. Mbilu,Shule ya Sekondari Lwandai

  • Print
Details
Published: 13 August 2024
 
Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs) Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, amefanya ziara ya kikazi katika Shule ya Sekondari ya Lwandai inayomilikiwa na KKKT-DKMs iliyopo Lushoto Mlalo leo tarehe 13/08/2024 ikiwa ni mwendelezo wa utaratibu wa Ofisi ya Askofu kutembelea vituo vinavyomilikiwa na KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki.
Hits: 9280

Read more ...

KKKT yaungana kulikabiri deni la KKKT-DKMs

  • Print
Details
Published: 11 August 2024
 
Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mch Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, amemshukuru Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa pamoja na Halmashauri Kuu ya KKKT kwa kuja na mpango wa pamoja kwa Dayosisi zote 28 za KKKT kuchangia kulipa deni linaloikabili KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs).
Hits: 9646

Read more ...

Familia ya marehemu Mzee Saguti wakabidhi nyumba kwa KKKT-DKMs

  • Print
Details
Published: 09 August 2024
Msaidizi wa Askofu KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Mchungaji Michael Mlondakweli Kanju, amewataka Wakristo kujenga moyo wa kujitoa kwa mali,sadaka kwa ajili ya Kristo na Kanisa lake, kwani ipo siri kubwa ya kufanikiwa kwa kujitoa katika kumtumikia Mungu.
 
Hits: 8867

Read more ...

Milioni 122 zapatikana Ujenzi wa Kanisa Usharika wa Pongwe Mtaa wa Diary

  • Print
Details
Published: 28 July 2024

HABARI KWA UFUPI TANGA

HABARI KWA UFUPI
Ibada ya Jumapili siku ya Bwana ya 9 baada ya utatu aliyofanyika KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Jimbo la Pwani Usharika wa Pongwe Mtaa wa Diary tarehe 28/07/2024. Ibada ilikuwa na matendo makuu mbalimbali ikiwemo uwekwaji wa Jiwe la Msingi la Kanisa Pamoja na Harambee ya Ujenzi wa Kanisa la Mtaa huo.
Hits: 8881

Read more ...

  1. Pumzika kwa amani Mzee Dastan Mazimu
  2. Mkesha wa Maombi kuiombea KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki
  3. Askofu Dkt. Mbilu atembelea Shamba la Irente Farm atoa pongezi kwa uongozi na wafanyakazi
  4. KKKT yawatoa hofu waumini uuzwaji wa eneo la SEKOMU

Page 22 of 137

  • 17
  • 18
  • 19
  • ...
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • ...
  • 26

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese