ELCT North Eastern Diocese
Toggle Navigation
  • Home
  • Our Diocese
  • Wopa
  • Gallery
  • Institutions
    • Irente Children's Home
    • Irente School for the Blind
    • Rainbow School
    • Lwandai Secondary School
    • Lutindi Mental Hospital
    • Bangala Lutheran Junior Seminary
    • Bumbuli Hospital
    • SEKOMU university
    • Namna ya kuchangia kazi za maendeleo na Vituo vya kutoa huduma kwa watu wenye mahitaji maalumu (KKKT-DKMs)
  • Calendar
  • Projects
    • Irente Biodiversity Reserve
    • UTC - Usambara Technological Center
    • Restaurants and Hostels
      • Tumaini Mbuyukenda Hostel and Restaurant
      • Martin Luther Garden and Restaurant
      • Tumaini Songe Restaurant and Hostel
      • Hohen Restaurant and Hostel
      • Tumaini Lushoto Restaurant and Hostel
  • Superintendent
    • Coast Superintendent
    • Northern Superintendent
    • Southern Superintendent
    • Plains Superintendent
  • New-clips
  • Contact us
  • You are here:  
  • Home

Bishop Rev.Dr. Msafiri J. Mbilu

Change Language

English German Spanish Swahili Swedish

News & Updates

  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI MOJA YA KAZI MENEJA WA SHAMBA (FARM MANAGER) KITUO CHA IRENTE FARM

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya...
  • Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji  NSSF

    Askofu Dkt.Mbilu akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uendeshaji NSSF

    Leo tarehe 01/04/2026, Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu amepokea ugeni kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifa...
  • TAARIFA

    TAARIFA

    Uongozi wa KKKT – Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ukiwakilishwa na Katibu Mkuu Mwl. Julius Madiga, u...
  • ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI AZINDUA BODI YA MFUKO WA PENSION

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Dkt. Msafiri Jos...
  • Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Taarifa Ziara ya Botswana kwenye Mkutano wa UEM Kanda ya Afrika

    Dayosisi yetu imepata heshima kubwa ya kushiriki katika Mkutano wa Kanda ya Afrika ulioandaliwa na U...

.



 

 

Staff Email

ELCT North Eastern Diocese

Mkuu mpya wa Wilaya ya Lushoto atembelea Makao Makuu ya KKK-DKMs

  • Print
Details
Published: 29 August 2024

KATIKA PICHA: Mkuu mpya wa Wilaya ya Lushoto Bw. Zephania Stephan Sumaye  leo tarehe 29/08/2024 ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs) yaliyopo Wilayani Lushoto Mkoa wa Tanga kwa lengo la kujitambulisha kwa Uongozi wa Dayosisi. Bw. Zephania  Sumaye alipokelewa na watumishi wa Ofisi Kuu ya KKKT-DKMs na kupata nafasi ya kufanya mazungumzo na  mwenyeji wake Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu.

Hits: 8863

Read more ...

Tangazo la kazi- Mratibu wa Kituo cha Maendeleo ya Mtoto

  • Print
Details
Published: 20 August 2024

Tarehe 19 Juni 1963, Kanisa la Usambara - Digo na makanisa mengine sita ya Kilutheri yaliungana na kuunda Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania . Leo hii KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs) ni miongoni mwa Dayosisi 28 za KKKT. Dayosisi inaitwa hivyo kwakuwa inapatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania katika Mkoa wa Tanga. Kwahiyo KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs) ni taasisi ya kidini iliyosajiliwa tarehe 19 Juni 1963 na Makao yake Makuu yapo Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga. Dhamira ya KKKT-DKMs ni kufundisha na kuhubiri neno la Mungu na kutoa huduma nzuri kiroho, kimwili, kiakili, kiuchumi na kijamii kwa watu. Taasisi hii inatoa tangazo la kazi kwa nafasi ifuatayo ya MRATIBU WA HUDUMA YA MTOTO NA KIJANA (PROJECT COORDINATOR) (NAFASI 1) kwa vijana wote  (Wakristo) 

NAFASI NA WAJIBU WA MRATIBU WA HUDUMA YA MTOTO NA KIJANA (PROJECT COORDINATOR).

1.1 CHILD AND YOUTH DEVELOPMENT CENTER COORDINATOR (CYDC)- MRATIBU WA KITUO CHA MAENDELEO YA MTOTO NA KIJANA.

Mratibu wa Kituo cha Maendeleo ya Mtoto na Kijana ni mwajiriwa wa Kanisa na atatumika  katika kituo cha maendeleo ya Mtoto na kijana (KKKT – SINDENI BWAWANI – TZ1212) kilichopo Sindeni – Wilaya ya Handeni. Katika utendaji wake wote wa majukumu /wajibu atawajibika kwa Mchungaji kiongozi na kusimamiwa na Kamati ya huduma ya Mtoto. Atasimamia utendaji wa watendakazi wengine katika kufanikisha shughuli za maendeleo ya ujumla ya Mtoto na kijana. Atasimamia maono ya maendeleo ya ujumla ya Mtoto na kijana na amali za huduma wakati wote wa Uhai wa kituo cha Huduma ya Mtoto.

Hits: 9143

Read more ...

Pumzika kwa Amani Askofu Mstaafu Joseph Jali

  • Print
Details
Published: 22 August 2024

Hits: 8264

Read more ...

TAARIFA KUTOKA OFISI YA ASKOFU WA KKKT-DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI LUSHOTO TANGA.

  • Print
Details
Published: 14 August 2024

Hits: 9636

Read more ...

  1. Ziara ya kikazi ya Baba Askofu Dkt. Mbilu,Shule ya Sekondari Lwandai
  2. KKKT yaungana kulikabiri deni la KKKT-DKMs
  3. Familia ya marehemu Mzee Saguti wakabidhi nyumba kwa KKKT-DKMs
  4. Milioni 122 zapatikana Ujenzi wa Kanisa Usharika wa Pongwe Mtaa wa Diary

Page 21 of 137

  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • ...
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • ...

Back to Top

© 2026 ELCT North Eastern Diocese